Mpendwa na rafiki wa Survival hospital, fungua JOB ADVERTISMENT – RADIOLOGY kupata tangazo la AJIRA ‘SISI NI SEHEMU YA TUMAINI JEMA’ B.K.RUTENGE MKURUGENZI WA UTAWALA
Ndugu Rafiki wa Survival Kutokana na uharaka na uhitaji wa Wahasibu katika Hospitali yetu. Tumeona kuendelea na usahili kwa kila maombi yanayo tumwa. Pia kutokana na uhitaji wa kuwapunguzia waombaji gharama za kusafiri, tumeona ni bisara kufanya usahili kwa njia ya mtandao na hasa tukijikita katika mambo muhimu ambayo tunahitaji kuyajua kutoka kwa mwombaji. Hivyo […]
Mpendwa mwombaji fungua hapa JOB ADVERTISMENT – ACCOUNTANTS (1) kupata tangazo la ajira. Mwisho wa kutuma maombi ni ratehe 26 Agost 2024 ‘Sisi ni sehemu ya tumaini jema’
Hospitali ya Survival inapenda kukutangazia kuwa kama ulipigiwa simu/ulitumiwa email kutaarifiwa kuwa umechaguliwa kuwa miongoni mwa watumishi wa Hospitali ya Survival, unataarifiwa kuwa kwa kipindi cha kuanzia tarehe 4 Agosti 2024 mpaka tarehe 9 Agosti 2024 tutakuwa na zoezi la kusaini mikataba ya ajira na kuchukuwa vipimo kwa ajili ya ununuzi wa sare(uniform) za hospitali […]
Uongozi wa Survival Hospital unapenda kuwashukuru wote mlio onesha nia ya kutaka kufanya kazi na sisi. Tunapenda kuwashukuru asanteni sana. Pia tunashukuru kwa mapendekezo yenu. Tuna imani tumeyafanyia kazi. Tunapenda kuchukua nafasi hii kuwambia kuwa usahili umekamilika na tayari tumechagua timu ya kuanza nao. Tunaimani kuwa timu yetu ya usahili imeweza kuwapigia simu wote na […]
Survival Hospital is the private hospital located at Rushe, Mabira, Kyerwa District in Kagera Region. The construction of the hospital started in 2018 and with expectation to open in August 2024. The hospital is advertising employment opportunity for Assistant Nursing Officers and enrolled nurse. The application deadline is 25 July 2024. Click JOB ADVERTISEMENT to […]
Mpendwa mwombaji wa nafasi za kazi kwenye Hosptali ya Survival Mwanzoni tulitegemea kutoa shortlist kabla ya tarehe 15 July 2024 ila kutokana na incomplete application kuwa nyingi tumeshindwa kukamilisha kabla ya muda huo. Tunaomba muendelee kutuvumilia mpaka au kabla ya tarehe 25 July 2024. Ninyi ni watu muhimu sana katika ukuaji wa taasisi zetu. ‘Sisi […]
Mpendwa Rafiki wa Survival Hospital Sambamba na kuangalia Email yako, juu ya majibu ya tenda ulioomba Fungua MAJIB YA TENDA kupata taarifa zaidi. Tunakushukuru kwa kuwa wewe ni mtu muhimu sana katika kukuwa kwetu Utawala
Survival Hospital is the private hospital located at Rushe, Mabira, Kyerwa District in Kagera Region. The construction of the hospital started in 2018 and with expectation to open in August 2024. The Hospital is new owned by NSG Company Ltd whose headquarters is in Geita region. Survival hospital has a good working environment and all […]
Survival Hospital is the private hospital located at Rushe, Mabira, Kyerwa District in Kagera Region. The construction of the hospital started in 2018 and with expectation to open in August 2024. Survival hospital has a good working environment and all services like roads water and electricity are available. Our KEY employees are provided with accommodation […]