Hospitali ya Survival inapenda kukutangazia kuwa kama ulipigiwa simu/ulitumiwa email kutaarifiwa kuwa umechaguliwa kuwa miongoni mwa watumishi wa Hospitali ya Survival, unataarifiwa kuwa kwa kipindi cha kuanzia tarehe 4 Agosti 2024 mpaka tarehe 9 Agosti 2024 tutakuwa na zoezi la kusaini mikataba ya ajira na kuchukuwa vipimo kwa ajili ya ununuzi wa sare(uniform) za hospitali […]