Survival hospitalSurvival hospitalSurvival hospital
Geita - Tanzania
+255 767 710 320

admin

USAHILI WA KUJIELEZA KWA WALIO OMBA NAFASI YA UHASIBU (ACCOUNTANT)

Ndugu Rafiki wa Survival Kutokana na uharaka na uhitaji wa Wahasibu katika Hospitali yetu. Tumeona kuendelea na usahili kwa kila maombi yanayo tumwa. Pia kutokana na uhitaji wa kuwapunguzia waombaji gharama za kusafiri, tumeona ni bisara kufanya usahili kwa njia ya mtandao na hasa tukijikita katika mambo muhimu ambayo tunahitaji kuyajua  kutoka kwa mwombaji. Hivyo […]
Read More

TANGAZO LA KUITWA KAZINI

Hospitali ya Survival inapenda kukutangazia kuwa kama ulipigiwa simu/ulitumiwa email kutaarifiwa kuwa umechaguliwa kuwa miongoni mwa watumishi wa Hospitali ya Survival, unataarifiwa kuwa kwa kipindi cha kuanzia tarehe 4 Agosti 2024 mpaka tarehe 9 Agosti 2024 tutakuwa na zoezi la kusaini mikataba ya ajira na kuchukuwa vipimo kwa ajili ya ununuzi wa  sare(uniform) za hospitali […]
Read More

KUITWA KUSAINI MIKATABA YA AJIRA NA KURIPOTI KAZINI

Uongozi wa Survival Hospital unapenda kuwashukuru wote mlio onesha nia ya kutaka kufanya kazi na sisi. Tunapenda kuwashukuru asanteni sana. Pia tunashukuru kwa mapendekezo yenu. Tuna imani tumeyafanyia kazi. Tunapenda kuchukua nafasi hii kuwambia kuwa usahili umekamilika na tayari tumechagua timu ya  kuanza nao. Tunaimani kuwa timu yetu ya usahili imeweza kuwapigia simu wote na […]
Read More

KUCHELEWA KWA SHORTLIST YA MAOMBI YA AJIRA KWA KADA ZOTE

Mpendwa mwombaji wa nafasi za kazi kwenye Hosptali ya Survival Mwanzoni tulitegemea kutoa shortlist kabla ya tarehe 15 July 2024 ila kutokana na incomplete application kuwa nyingi  tumeshindwa kukamilisha kabla ya muda huo. Tunaomba muendelee kutuvumilia mpaka au kabla ya tarehe 25 July 2024. Ninyi ni watu muhimu sana katika ukuaji wa taasisi zetu. ‘Sisi […]
Read More