Survival hospitalSurvival hospitalSurvival hospital
Geita - Tanzania
+255 767 710 320

HOSPITALI YA SURVIVAL KUWA NA KLINIKI ZA MADAKTARI BINGWA KUANZIA TAREHE 28 OKTOBA

  • Home
  • Children Health
  • HOSPITALI YA SURVIVAL KUWA NA KLINIKI ZA MADAKTARI BINGWA KUANZIA TAREHE 28 OKTOBA

Hospitali ya Survival iliopo Wilayani Kyerwa Mkoani Kagera, inatarajia kuwa na Kliniki za Madaktari Bingwa kuanzia tarehe 28 Oktoba 2024 to 3 November 2024. Hospital hiyo kwa kushirikiana na Madaktari wabobezi kutoka hospital hiyo watakuwa na Kliniki ya Magonjwa ya Ndini, Kliniki ya Macho na Kliniki ya Kinywa na Meno. Ewe mwananchi wa Mkoa wa Kagera sasa waweza kufika hopitalini hapo ili kupata huduma bora.

” Sisi ni Sehemu ya Tumaini Jema”