Survival hospitalSurvival hospitalSurvival hospital
Geita - Tanzania
+255 767 710 320

admin

  • Home
  • Author: admin
  • Page 2

HOSPITALI MPYA KYERWA

It’s new hospital: Survival Hospital is a community-oriented healthcare facility founded by Ndyamukama and Sad Co. Ltd, aiming to improve healthcare services in Kyerwa District, Kagera Region, Tanzania. It was established as part of his commitment to giving back to the community, providing accessible and reliable medical services to residents. Key Features: 1. Comprehensive Health […]
Read More

TIBU UGONJWA USITIBU DALILI

Katika mwendelezo wa kuendelea kuongeza uelewa wa umuhimu wa huduma za afya katika Jamii. Hospitali ya Survival iliyopo Mabira Wilayani Kyerwa, inatarajia kuzindua kampaini yake ya TIBU UGONJWA USITIBU DALILI, makusudi ya kampani hii ni kufikisha ujumbe wa umuhimu wa kutumia vituo vitowavyo huduma za afya kupima afya zao kabla ya kutumia dawa. Imekuwa kawaida […]
Read More

KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA

Hospitali ya Survival iliyoko Mabira, Wilayani Kyerwa Mkoani Kagera inatarajia kufanya KLINIKI ya madaktari bingwa wa mama na mtoto. Hii imetokana na wananchi wengi na haşa akina mama kuonesha wanauhitaji wa huduma hiyo. Hivyo tunaomba muendelee kufuatilia tovuti hii maana tarehe ambayo kliniki zinaanza itatolewa muda siyo mrefu. SISI NI SEHEMU YA TUMAINI JEMA
Read More

NAFASI ZA AJIRA

Hospital ya survival inahitaji kufanya replacement ya wafanyakazi katika kada zifuatazo 1. Enrolled Nurse 2. Pharmacy assistants 3. Medical Lab. Assistants Kufanya maombi tuma CV yako , kwenda humanresource@survival.co.tz au info@survival.co.tz Au piga simu 0767 710320 au 0762 120540 MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE 25, November 2024 ”SİSİ NI SEHEMU YA TUMAINI JEMA”
Read More

HOSPITALI YA SURVIVAL KUFANYA SEMINA KWA MAKUNDI MAALUMU

Katika kuendelea kujiimarisha na kuongeza uelewa kwa Jamil juu ya umuhimu wa huduma za Afya, na faida za kupima Afya mara kwa mara, Hospitali ya Survival iliyopo Rushe, Mabira Wilayani   Kyerwa Mkoan Kagera wanatarajia kufanya semina kwa makundi maalumu. Makundi hayo ni Wazee,  wanawake, bodaboda, walemavu, watumishi wa umma wakiwepo walimu, wanafunzi na taasisi […]
Read More

USAHILI WA KUJIELEZA KWA WALIO OMBA NAFASI YA UHASIBU (ACCOUNTANT)

Ndugu Rafiki wa Survival Kutokana na uharaka na uhitaji wa Wahasibu katika Hospitali yetu. Tumeona kuendelea na usahili kwa kila maombi yanayo tumwa. Pia kutokana na uhitaji wa kuwapunguzia waombaji gharama za kusafiri, tumeona ni bisara kufanya usahili kwa njia ya mtandao na hasa tukijikita katika mambo muhimu ambayo tunahitaji kuyajua  kutoka kwa mwombaji. Hivyo […]
Read More