HOSPITALI YA SURVIVAL KUFANYA SEMINA KWA MAKUNDI MAALUMU
Katika kuendelea kujiimarisha na kuongeza uelewa kwa Jamil juu ya umuhimu wa huduma za Afya, na faida za kupima Afya mara kwa mara, Hospitali ya Survival iliyopo Rushe, Mabira Wilayani Kyerwa Mkoan Kagera wanatarajia kufanya semina kwa makundi maalumu. Makundi hayo ni Wazee, wanawake, bodaboda, walemavu, watumishi wa umma wakiwepo walimu, wanafunzi na taasisi […]