Habari mpenzi na rafiki wa SURVIVAL HOSPITAL.
Uongozi wa Hospitali ya Survival iliyopo katika kata ya Mabira Wilayani Kyerwa Mkoani Kagera, wanapenda kukufahamisha kuwa kuanzia Tarehe 22 Hadi Tarehe 25 Januari mwezi Mwaka huuwa 2025, kutakuwa na Kiliniki ya Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Uzazi na akina mama. Kliniki hiyo inatarajiwa kufanyika katika hospitali hiyo. Unashauriwa kuwahi kujiandikisha na kupata namba ya ili uweze kupewa kipaumbele pindi tu muda utakapo wadia.
Imetolewa na uongozi wa Survival Hospital