Survival hospitalSurvival hospitalSurvival hospital
Geita - Tanzania
+255 767 710 320

Children Health

NAFASI ZA AJIRA – HOSPITALI YA SURVIVAL

UTANGULIZI Hospitali ya Survival ni hospitali binafsi iliyosajiliwa rasmi kwa ngazi ya Wilaya kwa mujibu wa masharti ya Sheria ya Hospitali Binafsi (Kanuni) Sura ya 151, kwa namba ya usajili 12151. Iko Rushe, Mabira, katika Wilaya ya Kyerwa, Mkoa wa Kagera. Hospitali hii imezindua idara zote kuu za utoaji huduma ambazo ni pamoja na Dawa […]
Read More

NAFASI ZA AJIRA – NAFASI 5 ZA MADAKTARI

UTANGULIZI Hospitali ya Survival ni hospitali binafsi iliyosajiliwa rasmi kwa ngazi ya Wilaya kwa mujibu wa masharti ya Sheria ya Hospitali Binafsi (Kanuni) Sura ya 151, kwa namba ya usajili 12151. Iko Rushe, Mabira, katika Wilaya ya Kyerwa, Mkoa wa Kagera. Hospitali hii imezindua idara zote kuu za utoaji huduma ambazo ni pamoja na Dawa […]
Read More

IJUE MAANA YA LOGO YA HOSPITALI YA SURVIVAL

                          LOGO YA SURVIVAL Logo hii ilibuniwa na Mr. Rutenge au Dr. Survival na kupewa namba ya usajili wa alama za Biashara (Logo)  TZ/S/2023/1096 na BRELA mnamo 2023. Sasa zitambue alama muhimu katika logo hiyo. ALAMA ZINAZO ONEKANA MIKONO MIWILI SKAFU YA BLUE […]
Read More

JOB VACANCIES AT SURVIVAL HOSPITAL

OVERVIEW Survival Hospital is the private hospital located at Rushe, Mabira, Kyerwa District in Kagera Region. It is a private hospital that launched its operation in August 2024. The hospital has launched all units of operation includes Pharmacy, laboratory, Laboure, Theatre, RCH, Maternity, paternity, radiology,  emergency, neonatal, mortuary and ward for admission of patient. The […]
Read More

Dr. Survival TODAY

“Health is not just the absence of disease, but the presence of awareness — the more we know, the better we live” “Afya siyo tu kukosekana kwa magonjwa, bali ni uwepo wa uelewa — kadri tunavyojua zaidi, ndivyo tunavyoishi vyema zaidi.” Stay Safe💪💪
Read More

JE UMEPATA KUFAHAMU HILI

Hospitali ya Survival ipo mbioni kupanua uwezo wa kutoa huduma zake. Sasa kuanzia mwezi wa June 2025, hospitali hiyo itakuwa kituo bora cha upasuaji. Amesema hayo Mkurugenzi mkuu wa Hospitali hiyo CPA. S.K.Rutenge, wakati akitoa ufafanuzi juu ya huduma zinazo tolewa na zile ambazo wanatarajia kuanza kuzitoa. Ameongeza kuwa kwa sasa huduma za OPD, RCH, […]
Read More