MAJIBU YA TENDA – TENDA YA MADAWA NA VIFAA TIBA VYA HOSPITALI
Mpendwa Rafiki wa Survival Hospital Sambamba na kuangalia Email yako, juu ya majibu ya tenda ulioomba Fungua MAJIB YA TENDA kupata taarifa zaidi. Tunakushukuru kwa kuwa wewe ni mtu muhimu sana katika kukuwa kwetu Utawala