Survival hospitalSurvival hospitalSurvival hospital
Geita - Tanzania
+255 767 710 320

admin

Dr. Survival TODAY

“Health is not just the absence of disease, but the presence of awareness — the more we know, the better we live” “Afya siyo tu kukosekana kwa magonjwa, bali ni uwepo wa uelewa — kadri tunavyojua zaidi, ndivyo tunavyoishi vyema zaidi.” Stay Safe💪💪
Read More

JE UMEPATA KUFAHAMU HILI

Hospitali ya Survival ipo mbioni kupanua uwezo wa kutoa huduma zake. Sasa kuanzia mwezi wa June 2025, hospitali hiyo itakuwa kituo bora cha upasuaji. Amesema hayo Mkurugenzi mkuu wa Hospitali hiyo CPA. S.K.Rutenge, wakati akitoa ufafanuzi juu ya huduma zinazo tolewa na zile ambazo wanatarajia kuanza kuzitoa. Ameongeza kuwa kwa sasa huduma za OPD, RCH, […]
Read More

NEW TENDERS AT SURVIVAL HOSPITAL

IMPORTATANT NOTE: Incase of any Inquiry pleases call or Send SMS through (0767 710320 OR o762120540) QUOTATION TO BE SENT THROUGH procurements@survival.co.tz OR info@survival.co.tz and Cc the following Emails: ceo@survival.co.tz    and                 director-admin@survival.co.tz Survival Hospital is the private hospital located at Rushe, Mabira, Kyerwa District in Kagera Region. […]
Read More

KAMBI YA MADAKTARI BINGWA HOSPITALINI

Habari mpenzi na rafiki wa SURVIVAL HOSPITAL. Uongozi wa Hospitali ya Survival iliyopo  katika kata ya Mabira Wilayani Kyerwa Mkoani Kagera, wanapenda kukufahamisha kuwa kuanzia Tarehe 22 Hadi Tarehe 25 Januari mwezi Mwaka huuwa 2025, kutakuwa na Kiliniki ya Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Uzazi na akina mama. Kliniki hiyo inatarajiwa kufanyika katika hospitali hiyo. […]
Read More

MGUU KWA MGUU NA NYUMBA KWA NYUMBA

Hospital ya Survival iliopo Kyerwa Mkoani Kagera sasa kutoa elimu ya umuhimu wa kutumia huduma za afya badala ya kuwaficha wagonjwa nyumbani na kuwanunulia dawa au jamii kununua dawa na kutumia bila kupata ushauri wa Daktari. Suala hili limekuwa likiongezeka katika jamii zetu ambapo watu huenda katika maduka maduka ya dawa na kununua dawa kisha […]
Read More

HOSPITALI MPYA KYERWA

It’s new hospital: Survival Hospital is a community-oriented healthcare facility founded by Ndyamukama and Sad Co. Ltd, aiming to improve healthcare services in Kyerwa District, Kagera Region, Tanzania. It was established as part of his commitment to giving back to the community, providing accessible and reliable medical services to residents. Key Features: 1. Comprehensive Health […]
Read More

TIBU UGONJWA USITIBU DALILI

Katika mwendelezo wa kuendelea kuongeza uelewa wa umuhimu wa huduma za afya katika Jamii. Hospitali ya Survival iliyopo Mabira Wilayani Kyerwa, inatarajia kuzindua kampaini yake ya TIBU UGONJWA USITIBU DALILI, makusudi ya kampani hii ni kufikisha ujumbe wa umuhimu wa kutumia vituo vitowavyo huduma za afya kupima afya zao kabla ya kutumia dawa. Imekuwa kawaida […]
Read More

KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA

Hospitali ya Survival iliyoko Mabira, Wilayani Kyerwa Mkoani Kagera inatarajia kufanya KLINIKI ya madaktari bingwa wa mama na mtoto. Hii imetokana na wananchi wengi na haşa akina mama kuonesha wanauhitaji wa huduma hiyo. Hivyo tunaomba muendelee kufuatilia tovuti hii maana tarehe ambayo kliniki zinaanza itatolewa muda siyo mrefu. SISI NI SEHEMU YA TUMAINI JEMA
Read More

NAFASI ZA AJIRA

Hospital ya survival inahitaji kufanya replacement ya wafanyakazi katika kada zifuatazo 1. Enrolled Nurse 2. Pharmacy assistants 3. Medical Lab. Assistants Kufanya maombi tuma CV yako , kwenda humanresource@survival.co.tz au info@survival.co.tz Au piga simu 0767 710320 au 0762 120540 MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE 25, November 2024 ”SİSİ NI SEHEMU YA TUMAINI JEMA”
Read More