Hospitali ya Survival iliyoko Mabira, Wilayani Kyerwa Mkoani Kagera inatarajia kufanya KLINIKI ya madaktari bingwa wa mama na mtoto. Hii imetokana na wananchi wengi na haşa akina mama kuonesha wanauhitaji wa huduma hiyo. Hivyo tunaomba muendelee kufuatilia tovuti hii maana tarehe ambayo kliniki zinaanza itatolewa muda siyo mrefu.
SISI NI SEHEMU YA TUMAINI JEMA