Survival hospitalSurvival hospitalSurvival hospital
Geita - Tanzania
+255 767 710 320

NAFASI ZA AJIRA

Hospital ya survival inahitaji kufanya replacement ya wafanyakazi katika kada zifuatazo

1. Enrolled Nurse

2. Pharmacy assistants

3. Medical Lab. Assistants

Kufanya maombi tuma CV yako , kwenda humanresource@survival.co.tz au info@survival.co.tz

Au piga simu 0767 710320 au 0762 120540

MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE 25, November 2024

”SİSİ NI SEHEMU YA TUMAINI JEMA”