Survival hospitalSurvival hospitalSurvival hospital
Geita - Tanzania
+255 767 710 320

USAHILI WA KUJIELEZA KWA WALIO OMBA NAFASI YA UHASIBU (ACCOUNTANT)

Ndugu Rafiki wa Survival

Kutokana na uharaka na uhitaji wa Wahasibu katika Hospitali yetu. Tumeona kuendelea na usahili kwa kila maombi yanayo tumwa. Pia kutokana na uhitaji wa kuwapunguzia waombaji gharama za kusafiri, tumeona ni bisara kufanya usahili kwa njia ya mtandao na hasa tukijikita katika mambo muhimu ambayo tunahitaji kuyajua  kutoka kwa mwombaji. Hivyo unaombwa kufungua email yako na kufanya usahili huo na kisha kututumia majibu yako kabla ya tarehe 28, Agositi, 2024 Saa 12:00 Jioni

Tunashukuru sana kutuamini

‘Sisi ni sehemu ya tumaini jema’

MKURUGENZI WA UTAWALA