Survival hospitalSurvival hospitalSurvival hospital
Geita - Tanzania
+255 767 710 320

TANGAZO LA KUITWA KAZINI

Hospitali ya Survival inapenda kukutangazia kuwa kama ulipigiwa simu/ulitumiwa email kutaarifiwa kuwa umechaguliwa kuwa miongoni mwa watumishi wa Hospitali ya Survival, unataarifiwa kuwa kwa kipindi cha kuanzia tarehe 4 Agosti 2024 mpaka tarehe 9 Agosti 2024 tutakuwa na zoezi la kusaini mikataba ya ajira na kuchukuwa vipimo kwa ajili ya ununuzi wa  sare(uniform) za hospitali kwa watumishi. Fungua TANGAZO LA KUITWA KUSAINI MKATABA KUANZIA TAREHE 5 AGOSTI 2024 MPAKA 9 AGOSTI 2024. (3) Pia angalia email yako au piga simu namba 0767710320 au 0762120540 kama hautapigiwa simu wala kupata email.

KARIBU SANA

‘SISI NI SEHEMU YA TUMAINI JEMA’

BURHAN K. RUTENGE 

MKURUGENZI WA UTAWALA

HOSPITALI YA SURVIVAL