Survival hospitalSurvival hospitalSurvival hospital
Geita - Tanzania
+255 767 710 320

KUCHELEWA KWA SHORTLIST YA MAOMBI YA AJIRA KWA KADA ZOTE

Mpendwa mwombaji wa nafasi za kazi kwenye Hosptali ya Survival

Mwanzoni tulitegemea kutoa shortlist kabla ya tarehe 15 July 2024

ila kutokana na incomplete application kuwa nyingi  tumeshindwa

kukamilisha kabla ya muda huo. Tunaomba muendelee kutuvumilia

mpaka au kabla ya tarehe 25 July 2024.

Ninyi ni watu muhimu sana katika ukuaji wa taasisi zetu.

‘Sisi ni sehemu ya tumaini jema’

Imetolewa na

UTAWALA

SURVIVAL HOSPITAL