Survival hospitalSurvival hospitalSurvival hospital
Geita - Tanzania
+255 767 710 320

HOSPITALI YA SURVIVAL KUTANGAZA TENDA


Akiongea Mkurugenzi wa Hospitali ya Survival amethibitisha kuwa mpaka sasa kila kitu nimekamilika na sasa wapo kwenye hatua ya kununua vifaa. Ununuzi wa vifaa watatumia tenda za wazi ili kuweza kupata vifaa vyenye ubora. Pia Mkurugenzi amethibitisha kuwa Tangazo la tenda lipanda siku ya Jumamosi tarehe 15 June 2024