-
Hospitali ya Survival Hospital kwa kushirikiana na Shirika la Community serve and Life Survival Organization (CSLSO) wanatarajia kufanya semina kubwa kwa ajili ya kutoa elimu kwa Bodaboda lengo likiwa kupunguza ajali barabarani. Semina hiyo inatarajiwa kufanyika katika ukumbi Hospital kwa kushirikiana na Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani.